Tazama mfano mzuri ni yule Ally Msengi ambae kwasasa yupo nchini Africa Kusini anacheza soka la kulipwa lakini alipitia KMC hapa kabla ya kumruhusu kwenda huko.
Makala hii inakuletea baadhi ya sajili ambazo zimeonekana kulipa na wachezaji kuingia moja kwa moja katika vikosi vya kwanza na kuleta faidi katika timu
Mchezaji huyo wa zamani wa Mbao fc na Yanga amesema kama wachezaji hawajaathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na Ligi kusimama ili kuzuia maambukizi ya corona.