Mo: Simba haikusajili vizuri.
Mwaka jana tulitumia kampuni ya kutoka Afrika Kusini lakini walituangusha sana. Nakiri makosa kama mwenyekiti.
Kiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezaji
Sasa kwa maana hiyo Simba imepigwa wale hawana hiyo thamani ya hiyo pesa. Hiyo bilioni 20 inaweza kua labda asimia tano tu ya uwekezaji.