TFF yaongeza waamuzi mechi ya Simba
Baada ya sintofahamu kutokana na maamuzi mbalimbali ya marefa wetu hapa nchini TFF imeamua kuongeza idadi ya waamuzi watakaochezesha mchezo wa robo fainali ya Azam Sports Federation Cup.
Ndanda kujipima na Namungo fc!
Vilabu vyote hivi viwili vinapatikana Mikoa ya Kusini mwa Tanzania Ndanda fc (Mtwara) na Namungo fc (Lindi).
Simba yapata pakulipia kisasi kwa Yanga
Katika draw hiyo Simba na Yanga huenda zikakutana katika mchezo wa nusu fainali endapo watashinda mechi zao za robo fainali
Usajili wa Yanga sasa ni zamu ya mshambuliaji wa Simba
Mshambuliaji huyo makini wa Ndanda, huenda alikuwa katika orodha ya majina ambayo Mwinyi Zahera aliacha wakati akiondoka kwenda kuungana na kikosi cha timu ya taifa ya Congo.
Mechi nne kufa na kupona Leo!
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.
Makka asafiri na majeraha, kuinusuru Mwadui isishuke daraja.
Beki wa pembeni wa timu ya soka ya Mwadui ya mjini Shinyanga Miraji Makka amesema imembidi kusafiri na timu kuelekea jijini Dar es Salaam ili kupambana na kuisaidia timu hiyo kusalia kwenye ligi kuu msimu ujao watakapocheza na KMC.
TFF wazidi kuitafuna akaunti ya Yanga.
Kamati ya bodi ya ligi kuu ya Uendeshaji na usimamizi wa ligi (Kamati ya saa 72) imeitoza klabu ya Yanga...
Azam FC itaichapa Lyon!
MICHEZO mitatu ya ligi kuu Tanzania Bara inataraji kupigwa leo Ijumaa katika miji mitatu tofauti. Ndanda FC ambayo ilikwama mkoani...
Mechi tisa tu, Ndanda FC wanashindwa kusafiri?!
BAADA ya kucheza michezo tisa kati ya 38 wanayotakiwa kucheza msimu huu katika ligi kuu Tanzania, timu ya Ndanda FC...
Bocco, Okwi ni nani atakayempisha Kagere ili Simba ibalansi kiuchezaji? Aussems presha inaanza leo
KOCHA mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji bila shaka ana kikosi kipana, lakimni kuanzia leo Jumamosi naweza...