Vigogo wa Afrika wanalakujifunza kwa Simba hii!
Simba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani
Chama cha Soka Afrika Kusini waishtaki Simba CAF.
Na ina uwezo wa kuharibu uwanja na tunaamini haikuwa kwa njia yoyote inayohusiana na michezo
Kiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetu
Hizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha
Mwenyekiti: Simba tunastahili pongezi, ule haukua moto.
Kwenye ile video mimi binafsi sikuona moto labda tuu kuna picha zilizotengenezwa zinasambaa.
Hamkutaka tumkokee moto babu yetu Onyango!?
CAF wanatakiwa watoe adhabu kwenye haya Mambo kama inavyofanya TFF
Kiongozi: Simba hatujarudi nyuma.
Msimu wa tatu tunaishia robo fainali inaumiza lakini kwa upande mwingine inatia matumaini na faraja kwamba tunamaintain ubora wetu
Mpira wa Afrika na mauzauza yake kwa Simba!
Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Ukweli ni kwamba Simba uwezo wao ni robo fainali!
Umemfikiria Luis Miquissone ??umemfikiria Clotaus Chama?? umemfikiria Okwi?? unawafikiria lakini?? nauliza umewafikiria hao watu,je? ni team gani Tanzania wachezaji hao watakaa benchi??
Simba hii ni tofauti itafuzu nusu fainali!
Kwa mujibu wa tafiti hakuna mchezaji aliyekufa uwanjani kwa ajili ya kukaba hivyo Simba ndiyo ikawe silaha ya' kukaba hadi kivuli'.
Waziri: Afrika Kusini ni salama kwa Simba!
Waziri huyo ameyasema hayo baada ya mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba Barbara Gonzalez kuomba ulinzi kwa serikali ya Tanzania