Kocha Pablo kushusha kikosi kamili.
Pablo Franco kocha mkuu wa Simba amesema katika michuano hii kwa hatua iliyofikia hakuna timu raisi.
Kocha Simba: Kipindi cha pili wachezaji walipumzika.
Kocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Simba dhidi ya Ruvu Na vita ya nafasi katika msimamo
Kwa upande wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuna taarifa za chini chini kwamba kuna mahusiano 'dhaifu' kati ya nyota
Yametimia leo ndio leo!
Hii ni mechi special na ndio maana kila kitu ni special kuelekea mchezo huu.
Pablo: Ni mechi kubwa, tutawapa furaha mashabiki wetu.
Sisi tumezoea kucheza mechi kubwa kama hizi nadhani mliona wenyewe katika mchezo wa robo fainali
Kiongozi Simba: Pablo haendi popote, tuna ofa kibao za wachezaji wetu
Hizi taarifa za kocha sijui mmezitoa wapi. Hakuna tasarifa yoyote ya klabu iliyosema kuhusu kumfukuza kocha