Asikuambie mtu vita hivi vina raha yake.
Na matumaini macho yetu hayata boreka kwa mchezo huu. Itakua ni "Classic Game".
Adui No1 wa Pep Guardiola
Wapwa: Kweli "zimwi likujualo halikuli likakwisha" kufuatia matokeo ya Premier league usiku wa jana inaashiria kitu.
Pep athibitisha nyota wake anaondoka!
Nadhani kila mtu anajua na ikiwa mwishoni mwa msimu huu makubaliano yanaweza kupatikana ataondoka, ikiwa sivyo ataondoka mwishoni mwa mkataba wake.
Niliwahi kumuona “GUARDIOLA” Kwenye mwili wa “DJUMA”.
Historia iliwahi kuniaminisha kuwa Joseph Omong atafanya vizuri katika klabu ya Azam Fc. Nilikuwa na imani kubwa sana juu ya...
Bartomeu amfungulia milango Guradiola kurejea Camp Nou.
Rais wa klabu ya soka ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amesema mlango upo wazi kwa kocha Pep Guardiola kurejea tena...
Rekodi zinavyompasua kichwa Pep Guardiola
Ni mchezo wa robo fainali ya michuano Uefa Champions League, Liverpool dhidi ya Manchester City ni mchezo unaowakutanisha makocha bora...
Pep anavyomuhitaji Sanchez
Kwanza tunaanza kumtazama Pep Guardiola namna alivyokijenga kikosi cha Manchester city aina ya uchezaji kwenye kikosi chake. Pep ni moja...