Si rahisi Stars kuepuka kichapo pale Namboole dhidi ya Cranes
NI kikosi gani na mbinu gani atatumia kocha wa Uganda ‘Cranes’ Mfaransa, Sebastien Desabre dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’ iliyochini...
Kiungo wa Uganda awatamani Taifa Stars
Kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Farouk Miya amesema atajitoa kwa nguvu katika mchezo wa kundi...
Yondani aachwa Stars!
Zikiwa zimebakia takribani siku mbili tu kwa Stars kucheza na Uganda jijini Kampala beki wa kati wa klabu ya Yanga...
Tanzania inaenda Uganda ikiwa na umbo la Argentina
Kuna vitu vingi sana vya kuvutia katika dunia ya leo, dunia tunayoishi ni moja ya kitu bora kuwahi kutokea ambacho...
Taifa Stars kuifuata Uganda Alhamis
Kikosi cha timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinaendelea kujichua jijini Dar es salaam kwa ajili ya...
Aishi ndiye aliyewaondoa Erasto, Kapombe, Dilunga, Kichuya na Mkude Stars, au ni Amunike, Simba, TFF au muda?
KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) Mnigeria, Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji watano kati ya...
Nyota wa Simba waondolewa Taifa Stars
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike amewaondoa kikosini wachezaji sita wa timu...
Tunawekeza ubora wa paa la Taifa Stars na kusahau msingi.
Fikiria neno "hatua" ni neno dogo lakini ndilo limebeba tafasri halisi ya neno maendeleo. Maendeleo ni wingi wa hatua zinazopigwa...
Taifa Stars imetufuta Chozi kwa leso yenye mchanga
Nyuso zetu zimejaa furaha, furaha ya muda mfupi. Furaha ambayo imetusahaulisha kila tatizo lililopo katika familia yetu. Familia yetu ina...
Stars yatakata nyumbani
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars jioni ya jana imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya...