Kamati ya Nidhamu ya TFF imebaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Kila mtu ana jicho lake, jinsi anavyokiona kikosi cha Amunike. kuna wanaoona kikosi kimesheheni mabeki watupu, kuna wanaoona kikosi kiliwahitaji baadhi ya nyota ambao hawakuitwa. Lakini jambo pekee la msingi la kushika ni kwamba UKOCHA NI TAALUMA.
Tumkumbuke kupitia hospitali ya kimataifa ya Dodoma, tumkumbuke kupitia barabara na pia tumkumbuke kuwa ndiye aliyejenga huu uwanja lakini tuvae miwani ya kibiashara.