Zamani timu zetu zikienda kucheza na timu za Kaskazini kuanzia AirPort, mitaani hadi hotelini timu inaonyeshwa ishara ya kufungwa 5 na kiwanjani kweli tulikuwa tunafungwa Idadi ya mabao hiyo
Tangu nipo Tanzania mechi niliyocheza ikiwa na mashabiki wengi ni mechi ile ya juzi dhidi yao (fainali dhidi ya USM Algier), watu walikuwa wengi ni walitusapoti sana
Naona Wananchi kwenye vita vingine baada ya fainali ya kupambana kumbakiza tunaposema mpira si mchezo wa siri kama unajua unajua tu na utaonekana hadharani