Athuman Idd Chuji ni shujaa kweli kweli, Mwaka 2011 alipopata Matatizo na timu yake ya Yanga aliamua kuvuka barabara na kuelekea Simba SC na kusajili kwa ajili ya msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup, hili lilitokea japo mwaka 2008 Usajili wake wa Utata toka Simba kwenda Yanga ulizua sintofahamu...
Nipo ndani ya uwanja mpya wa Taifa nikifatilia Mpambano wa Fainali wa mashindano yaliyopewa jina la URAFIKI CUP kati ya AZAM FC vs SIMBA SC jukwaa lile lile ambalo anapenda kukaa Pacha wangu wa Nje Bwana Frank Robert Rweyemamu mara inarushwa chupa ya maji kuelekea uwanjani aliposimama mshika kibendera kutoka...
Nachokiamini ni mazoea yetu mabaya ambayo leo yanakuondoa, tumekuzoea kiasi kwamba tunakuona wewe sio hatari tena, dah! Namsubiria huyo mshambuliaji wao mpya