Ama kwa hakika kwa Feisal amefufuka wakati muafaka haswa katika kulekea mchezo dhidi ya Simba na hivyo kumpa mwalimu uchaguzi mwingi katika eneo la kiungo.
Ni utaratibu wetu kusheherekea na wafungaji mabao mengi kila mwezi, mechi za mzunguko wa 26 na 27 zitaamua nani atakuwa galacha wa magoli mwezi huu wa nne.
Lakini baada ya ujio wa Morrison mashabiki wa Yanga wamekua wakisikika wakisema nawao wamepata Deo Kanda wao, kwa maana wamepata kiungo mahiri wa pembeni mwenye uwezo kama wake.