Hali imekua tofauti kwa timu ya Mtanzania Mbwana Samatta walau wao wameonja ushindi mara nyingi zaidi ya Arsenal ambapo wamepata ushindi mara 7 katika EPL.
Baada ya tetesi nyingi hatimaye Mbwana Samatta amewaaga wachezaji wenzake wa KR Genk kwa ajili ya kujiunga na ligi pendwa duniani , ligi kuu ya England. Hii ilikuwa ndoto ya Watanzania wengi kushuhudia Mtanzania akiwa anacheza kwenye ligi ambayo ni kubwa ligi ambayo inafuatiliwa kwa kiwango kikubwa. Kwa mjibu wa...