EPL

EPL

Ukame wa mabao kwa Salah, wamlazimisha Klopp kuzungumza!

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema haoni kabisa kama mshambuliaji wake raia wa Misri Mohamed Salah anasumbuliwa na tatizo la msongo wa mawazo kutokana na kushindwa kuzitingisha nyavu katika michezo nane iliyopita. Salah ambaye msimu uliopita alifunga mabao 44 katika mashindano yote, msimu huu umekuwa mgumu kwake akifunga mabao 20...
EPL

Hawa ndio nyota sita, wanaoondoka Manchester United.

Klabu ya soka ya Manchester United ipo mbioni kuwaachia nyota wake sita katika kipindi cha majira ya joto kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuisha mikataba, kupungua viwango vyao pamoja na sababu nyingine mbalimbali. Nia hiyo ni maalumu kwa ajili ya kumsaidia Kocha Ole Gunnar Solskajaer kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi...
EPL

Ole: United inahitaji alama 15 kuingia ‘Top Four’!

Meneja wa klabu ya soka ya Manchester United Ole Gunnar Solskajaer amesema ili waweze kumaliza katika nafasi nne za juu kwenye ligi kuu England ni lazima washinde michezo mitano kati ya sita ambayo imebaki. Ole ameyasema hayo baada ya timu yake kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers...
EPL

Ole apewa rasmi usukani wa Manchester United.

Klabu ya soka ya Manchester United imemtangaza kocha Ole Gunnar Solskjaer ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya umeneja toka kuondoka kwa Jose Mourihno kuwa meneja wa kudumu kwa mkataba wa miaka mitatu. Kocha huyo ambaye alikuwa akiifundisha Molde ya nchini Norway toka mwaka 2015 amechukua rasmi mikoba ya Jose Mourihno katika...
EPL

Manchester city yajawa na matumaini ya kunasa saini ya Ronaldo.

Klabu ya soka ya Manchester City ya England imepata matumaini ya kumsajili kinda wa Benfica ya Ureno Ronaldo Camara ambaye anawaniwa na vilabu vingine vikubwa ikiwemo Barcelona na Manchester United. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa tishio katika siku za usoni kwani tayari...
EPL

Scholes na siku 31 Oldham, fahamu wengine wenye rekodi kali zaidi.

Kiungo wa zamani wa Manchester United Paul Scholes ameingia kwenye rekodi ya makocha ambao wamezitumikia timu zao kwa kipindi kifupi zaidi baada ya kutangaza kuachia ngazi kuifundisha timu ya Oldham Athletic toka alipojiunga nayo mwezi uliopita. Scholes mwenye umri wa miaka 44 ameikacha timu hiyo baada ya kuiongoza katika michezo...
1 2 3 4 5 6 15
Page 4 of 15
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.