EPL

EPLLa LigaMabingwa UlayaSerie A

England ndiye mfalme wa Ulaya.

Kwa mara ya kwanza baada ya Miaka kumi, nchi moja imefanikiwa kuingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia leo Liverpool kuungana na Manchester United, Tottenham Hotspurs na Manchester City kwa ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Bayern...
BlogEPL

Peter Crouch: Natamani Liverpool wawe mabingwa, ila…….!

Mshambuliaji wa Burnley inayoshiriki ligi kuu England Peter Crouch amesema anatamani sana kuiona Liverpool ikinyakua ubingwa lakini pia anatamani kunyakuwa alama tatu muhimu kwenye mchezo wao wa ligi watakapokuwa ugenini wakicheza na Liverpool mwishoni mwa juma hili. Crouch mwenye umri wa miaka 38 amesema mara zote amekuwa akifurahia anapocheza kwenye...
EPL

Pochettino afungiwa mechi mbili

Pochettino, pia atatakiwa kulipa faini ya paundi 10,000 na kufungiwa kwake kutamfanya akose mchezo wa ugenini dhidi ya Southampton na ule wa nyumbani watakaoikaribisha Crystal Palace
EPL

Kuelekea mechi na Palace, Ole amjaza upepo Fred.

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema anafikiria kumuanzisha kiungo wa kibrazil Frederico Rodrigues de Paula Santos maarufu kama Fred katika mchezo wa ligi ya England dhidi ya Crystal Palace usiku wa leo. Solskjaer amesema ni wakati muafaka sasa kwa Fred kuonesha ubora wake kwani toka asajiliwe mwezi Juni...
EPL

Kocha Roy Hodgson kuvunja rekodi hii Jumamosi.

Kocha Roy Hodgson atakuwa kocha mwenye umri mkubwa kama ataiongoza timu ya Crystal Palace kucheza na Leicester katika michuano ya ligi kuu soka England kwenye uwanja wa King Power mjini Leicester. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool ataivunja rekodi ya Kocha Robby Robson ambaye aliiweka mwaka 2004 wakati akiiongoza Newcastle...
1 3 4 5 6 7 15
Page 5 of 15
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.