Mataifa Afrika

Mataifa Afrika

Kwa elfu 13 tu unaishuhudia Taifa Stars nchini Misri.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetangaza gharama za tiketi za kutazama mechi za Fainali ya Africa (AFCON) inayotarajia kuanza mwezi ujao nchini Misri. CAF imetangaza gharama hizo kwa madaraja mbalimbali, ambpo kwenye michezo ya hatua ya makundi ambayo itahusisha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” tiketi za...
Mataifa Afrika

Obi kurejea timu ya Taifa kwa ajili ya AFCON.

Kiungo John Obi Mikel amethibitisha kwamba ataitumikia timu ya Taifa ya Nigeria ‘Super Eagles’ kwenye fainali ya Mataifa Afrika zinazotarajiwa kufanyika kuanzia mwezi ujao nchini Misri. Taarifa kutoka kwenye uongozi wa timu ya Taifa zimesema kwamba Mikel tayari ameshakutana na kocha Rohr Gernot nchini Uingereza kujadiliana na hilo na kuthibitisha...
Mataifa Afrika

Migne ataja 30 wa awali kwa ajili ya AFCON.

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Soka ya Kenya ‘Harambee Stars’ Sebastien Migne ametangaza majina ya awali ya wachezaji 30 kwa ajili ya michezo ya kirafiki kujiandaa na michuano ya Mataifa Afrika inayotazamiwa kufanyika kuanzia mwezi ujao nchini Misri. Katika kikosi hicho kilichotangazwa leo, wachezaji 11 walioitwa wanacheza ligi...
1 2 3 4 5 7
Page 3 of 7
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.