UhamishoCoastal Union na Yanga biashara nzuri kwa Mwamunyeto?Thomas Mselemu4 years agoInaelezwa thamani ya mlinzi huyo wa Stars ni milioni 70 mpaka 100, huku pia klabu inayomtaka ikitakiwa kumalizana na Coastal Union.
TetesiGSM na Yanga wakosa hela ya kumsajili MwamunyetoMartin Kiyumbi4 years agoUongozi wa timu ya Coastal Union umesema kwamba mchezaji Bakari Nondo Mwamnyeto ataendelea kuhudumu katika klabu hiyo msimu ujao kwa...
UhamishoSimba na Yanga njooni mnisajili -MwamunyetoMartin Kiyumbi4 years ago Beki kisiki wa klabu ya Coastal Union Bakari Nyundo Mwamnyeto amedai kuwa kwa sasa yupo na klabu yake ya...
Ligi KuuCoastal Union na rekodi isiyoimbwa!Thomas Mselemu4 years agomichezo mingi bila nyavu zake kutikiswa na hivyo kua na mchango mkubwa katika kuifikisha Coastal katika tano bora ya VPL.
Ligi KuuCoastal Union waendeleza balaa Uhuru!Thomas Mselemu4 years agoKwa matokeo hayo maana yake kwa msimu huu Coastal wamechukua alama zote sita kwa Azam fc baada ya raundi ya kwanza kuwafunga Azam moja bila katika dimba la Mkwakwani Tanga.
Ligi KuuKMC: Tunataka alama zetu zote zilizopotea.Thomas Mselemu5 years agoKMC iko katika nafasi ya nne ikiwa na alama 31
Ligi KuuMaisha ya Alikiba ndiyo maisha wanayotakiwa kuishi wachezaji.Martin Kiyumbi5 years agoKabla ya ligi kuanza kulikuwa na vitu vingi sana vya kuvutia. Vitu ambavyo vilitufanye tuanze kuisubiri ligi kwa hamu. Kuna...
BlogKwa hali hii Coastal Union wapo juu!Thomas Mselemu5 years agoCoastal Union "Wagosi wa kaya" kutoka Tanga wamerudi katika Ligi Kuu Bara baada ya kushuka daraja misimu miwili iliyopita baada...
Ligi KuuAli Kiba ni ‘hasara’ si faida Coastal Union, wampige chini dirisha dogo!Baraka Mbolembole6 years agoWakati leo Jumamosi wakitaraji kucheza mchezo wa tatu nyumbani Mkwakwani Stadium, Tanga klabu bingwa ya zamani ya Tanzania Bara, Coastal...
Ligi KuuNa safari ianze sasa! Ligi Kuu!Mwandishi Wetu6 years agoUnaweza kubofya mechi ambayo ungependa ifuatilia hapo. Pazia La Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Kwa Msimu Wa Mwaka 2018/2019 Linatarajiwa...