Kwa kesi hii ya ugonjwa wa corona ni vyema basi FA za Hispania na England wakafiri ni jinsi gani wataweza kuwasiliana na kujenga ujamaa na FA ya China.
NAPAZA sauti juu yangu nikisema wazi Victor Moses amedhulumiwa jasho lake. Nitasema hivi kokote kule ambako nitaitwa kuelezea amedhulumiwaje. Nitakueleza...