Kwenye Miquissone yupo Sakho kwenye Sakho hayupo Miquissone!
Wengi watajiuliza nini maana yangu juu ya hao wachezaji waliocheza Simba kwa vipindi viwili tofauti kila moja akikonga nafsi za mashabiki wa Wanamsimbazi na wasio wa club hiyo.
Luis Miquissone ni mchezaji wa Simba-SENZO
Baada ya kuwepo na taarifa za hali ya sintofahamu kuhusu mkataba wa Luis Miquissone mchezaji raia wa Msumbiji, mtandao huu...
Huu ndio usajili bora VPL dirisha dogo?
Tuambie ni kwako anafaaa kua usajili bora namba moja katika dirisha dogo na nina aliekuvutia kati ya sajili hizi tano, tupe maoni maoni yako.