Uncle Ngassa aipa mkono wa kwaheri Yanga!
Ngassa ama "Enjoy soccer" inaonekana ni miongoni mwa wachezaji 13 ambao Yanga inatarajiwa kuachana nao katika kipindi hiki baada ya Ligi kumalizika.
Mrithi Mrisho Ngassa awe Dickson Ambundo
Mrisho Ngassa bado yupo Yanga , hana nguvu sana ukilinganisha na nguvu alizokuwa nazo misimu mingi iliyopita
Muda huu Samatta alitakiwa awe anavunja rekodi za Mrisho Ngassa
Kuna tofauti kubwa baiba yao muda huu, Ngassa alitakiwa awe kioo cha kila mafanikio ambayo tunayaona sasa..
Rasmi njaa yaisha YANGA , wachezaji kunenepa!
Baada ya kupitia nyakati ngumu , klabu ya Yanga kwa sasa iko kwenye nyakati za Neema. Yanga ilikuwa imeshindwa kulipa...
Nisipowafunga SIMBA kachomeni nyumba zangu moto-Mrisho Ngassa
Homa ya pambano la jadi kati ya Simba na Yanga inazidi kupanda kila uchwao. Hii ni mechi ambayo hushika hisia...
Uncle alijiandaa kushindwa, wacha ashindwe
UNCLE Mrisho Ngassa siku hizi anashinda mitandaoni kulalamika kuhusu madeni yake na Yanga. Analalamika sana mpaka anatia huruma.
YANGA ni kubwa kuliko mchezaji, Ngassa atulie – NUGAZ
Baada ya sakata la Yanga na Mrisho Khalfan Ngassa kupamba moto kwenye mitandao ya kijamii kutokana na Mrisho Khalfan...
Anayestahili kuwa nahodha wa Yanga huyu hapa.
Yanga bado ipo katika maandalizi ya msimu wa Ligi Kuu Tanania bara na michuano mingine ya kimataifa. Nani anafaa kuwa nahodha wa timu?
NGASSA; Yanga ni ‘klabu ya maisha yangu’ nitasaini muda wowote
Ngassa ambaye alifunga magoli saba katika ligi kuu Tanzania Bara msimu uliopita ni kati ya wachezaji ambao mkuu wa benchi la ufundi la klabu bingwa hiyo ya kihostoria nchini, Mwinyi amependekeza kuongezewa
Bado Ngassa ana ndoto ya kucheza Soka la kulipwa !
Ni kitu kikubwa sana chenye ushujaa. Baada ya mechi dhidi ya Mbao FC, kinywa chake kilitamka matamanio yake ya kucheza Ulaya tena kwa mara nyingine..