Pablo: Ni mechi kubwa, tutawapa furaha mashabiki wetu.
Sisi tumezoea kucheza mechi kubwa kama hizi nadhani mliona wenyewe katika mchezo wa robo fainali
Shomary Kibwana: Toleo jipya la Kapombe na Juma Abdul!
Kwenye stori zangu na yeye aliwahi kuniambia kua hakuna timu anaweza kwenda na kushindwa kucheza!
Ni nusu fainali yenye gundu? -3
Waswahili hutumia neno "Gundu" kwa kuashiria bahati mbaya, kukosa bahati ama mkosi, ndicho unachoweza kusema kwa timu zote mbili Simba na Yanga kuelekea mchezo wao wa nusu fainali wa Azam Sports Federation Cup.
Shomari Kapombe kuivaa Yanga …
Kwenye mechi ya nusu fainali kati ya Azam FC na Simba kulitokea tukio ambalo lilisababisha majeraha ya mchezaji wa Simba...
Hii ndio Tofauti kuu ya kiufundi kati ya Kapombe na Kessy.
anaweza kucheza kama “Inverted Full back” Kwa maana timu inaposhambulia, Kessy hupanda na kuungana na kiungo wa ulinzi.
Shomari Kapombe bado yuko Simba
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.
Shomari Kapombe huyoo anarudii!
Lakini leo klabu ya Simba imetoa habari nzuri kwa mashabiki wa Kapombe na Simba pia baada ya kutaja urejeo wake hivi karibuni.
Simba ina wachezaji wanne pekee wanaofaa katika hatua ya makundi.
“Tunafanya mazoezi ya nguvu sana, tunawaweka sawa wachezaji kisaikolojia waamini kuwa maisha yao ni soka”
Simba kuwakosa nyota wake katika Sportpesa super cup.
Simba sc kuelekea mchezo wa kesho itawakosa wachezaji wake kutokana na sababu mbalimbali.
Kapombe ni pengo, lakini..!
KWA mara nyingine mlinzi ´kiraka´ wa klabu ya Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars), Shomari...