Simba: FA Ndio Tumaini Pekee, Azam Hatuwaachi
Pia Mgunda alikiri walipoteza mchezo wa Ligi raundi ya kwanza na kutoka sare wapili lakini amesema huu ni mchezo watofauti na una mbinu tofauti.
Pia Mgunda alikiri walipoteza mchezo wa Ligi raundi ya kwanza na kutoka sare wapili lakini amesema huu ni mchezo watofauti na una mbinu tofauti.
Sasa Mbelgiji huyo anakibarua chakutetea taji la Ligi ya Mabingwa Afrika lakini pia na taji la Ligi Kuu ya Morocco Batola Pro ili kukifanya kibarua chake kua salama zaidi.
Shughuli inakuja kule kwa wajanja wenzetu wa juu zaidi’ intensity’ ya mchezo huwa inaenda kuwa juu yake kasi na kujiamini huwa vinamuelemea na kupoteza kabisa uwezo wake
Kabla ya mpira kwenda mapumziko Namungo walichomoa bao hilo kupitia kwa Salum Kabunda aliyenufaika na makosa ya Ally Salim kwa kushindwa kuuokoa mpira wa kona vyema uliopigwa na Shiza Kichuya.
Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa….Stori zaidi.
Simba wakubali ukweli kwamba wametolewa na hawajafikia lengo lao na si kutumia kivuli chakusema wamejitahidi ama wamekufa kiume.
Safari ya Wekundu wa Msimbazi Simba katika Ligi ya Mabingwa imeishia rasmi mbele ya mabingwa watetezi Wydad Casablanca baada yakuondoshwa kwa mikwaju ya penati 4-3.
Ni wazi Wanasimba wanategemea wachezaji wap kurudia kile kilichotokea miaka 20 nyuma yaani mwaka 2003 ambapo Mnyama alimtoa Zamalek ambae alikua bingwa mtetezi tena katika ardhi ya nyumbani kwake Misri
Nae kiungo wa pembeni wa Simba Pape Osmane Sakho akiongea kwa niaba ya wachezaji wa Simba amesema wao kama wachezaji wapo tayari kupambana ili kutimiza ndoto yakufuzu nusu fainali.
Hapa ndiyo nafasi ya “Video analysist” wa timu inapokuja, najua mpira wa Africa unachezwa kwa mbinu zaidi na fitna za Kidunia za nje ya Uwanja.