Ligi Kuu

Mtibwa waibwekea Singida United.

Kikosi cha timu ya soka ya Mtibwa Sugar (wanaTamTam) chini ya kocha wake Zubeir Katwila kimeendelea na mazoezi  katika uwanja wake wa nyumbani wa Manungu Complex, Turiani kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu bara (TPL) dhidi ya Singida United mchezo utakaochezwa Jumanne hii mkoani Morogoro. Kuelekea mchezo huo afisa...
Ligi KuuMataifa Afrika

Kagere safi!!!, Niyonzima ndo basi tena.

Kocha wa timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) Mshami Vincent amewaita wachezaji 27 wa kuunda kikosi cha awali cha timu hiyo kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwenye fainali za mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Ivory Coast mjini Abidjan. Katika kikosi hicho mchezaji pekee anayecheza ligi kuu Tanzania Bara Meddie Kagere...
BlogEPL

Peter Crouch: Natamani Liverpool wawe mabingwa, ila…….!

Mshambuliaji wa Burnley inayoshiriki ligi kuu England Peter Crouch amesema anatamani sana kuiona Liverpool ikinyakua ubingwa lakini pia anatamani kunyakuwa alama tatu muhimu kwenye mchezo wao wa ligi watakapokuwa ugenini wakicheza na Liverpool mwishoni mwa juma hili. Crouch mwenye umri wa miaka 38 amesema mara zote amekuwa akifurahia anapocheza kwenye...
Ligi Kuu

Idd Cheche: Tumejipanga.

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itaingia vitani kuwania pointi tatu muhimu kwa kuvaana na JKT Tanzania, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex kesho Ijumaa saa 1.00 usiku. Kuelekea kwenye mchezo huo wa raundi ya 30, ambao unatarajia kuwa mkali...
Blog

Morocco vs Argentina, mkataba wa ajabu wa kumlinda Messi.

Kati ya mikataba ya ajabu iliyowahi kutokea kwenye mchezo wa soka basi ni huu mkataba wa makubaliano ya awali kati ya shirikisho la soka nchini Morocco na shirikisho la soka nchini Argentina kuelekea katika mchezo wa kirafiki. Katika mkataba huo Nahodha wa Argentina Lionel Messi amewekewa kinga kubwa ikiwemo baadhi...
EPL

Kuelekea mechi na Palace, Ole amjaza upepo Fred.

Meneja wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema anafikiria kumuanzisha kiungo wa kibrazil Frederico Rodrigues de Paula Santos maarufu kama Fred katika mchezo wa ligi ya England dhidi ya Crystal Palace usiku wa leo. Solskjaer amesema ni wakati muafaka sasa kwa Fred kuonesha ubora wake kwani toka asajiliwe mwezi Juni...
EPL

Kocha Roy Hodgson kuvunja rekodi hii Jumamosi.

Kocha Roy Hodgson atakuwa kocha mwenye umri mkubwa kama ataiongoza timu ya Crystal Palace kucheza na Leicester katika michuano ya ligi kuu soka England kwenye uwanja wa King Power mjini Leicester. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool ataivunja rekodi ya Kocha Robby Robson ambaye aliiweka mwaka 2004 wakati akiiongoza Newcastle...
ASFC

Namungo waitahadhalisha Yanga.

Kocha wa timu ya Namungo Bakari Malima kutoka Wilaya Ruangwa Mkoani Lindi amejigamba kuondoka na ushindi dhidi ya timu ya Yanga SC ya Jijini Dares Salaam Katika Kombe la Shirikisho la Azam. Namungo ambayo inaongoza katika msimamo wa Ligi daraja la kwanza inatarajia kucheza na Yanga SC siku ya jumapili...
1 5 6 7 8 9 34
Page 7 of 34