Martin Kiyumbi

Mchambuzi
Mchambuzi wa mpira wa miguu, mwenye Shahada ya Ualimu. Martin amejiunga na timu ya kandanda toka mwaka 2017, moja kati ya wachambuzi wakongwe katika familia yetu.
Tetesi

Tshishimbi amfuata Morrison SIMBA

Baada ya mshambuliaji wa Yanga , Bernard Morrison kwenda katika klabu ya Simba , aliyewahi kuwa kiungo wa klabu hiyo Papy Kabamba Tshishimbi yuko njiani kuelekea Simba. Papy Kabamba Tshishimbi ambaye amemaliza mkataba wake na Yanga. Mazungumzo ya mkataba mpya kati yake na Yanga kuhusu mkataba mpya yalishindikana hivo wakaachana...
Tetesi

Gwambina FC kumleta Mwinyi Zahera

Timu ya Gwambina FC iliyopanda ligi kuu msimu huu inaendelea kujiimarisha kuelekea katika msimu mpya kwa kufanya sajili mbalimbali kwenye kikosi chao. Kuna taarifa ambazo zinadai kuwa aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera anatazamiwa kurudi nchini kuifundisha timu hiyo ya Misungwi , Mwanza. Kocha huyo ambaye alidumu na...
Uhamisho

Bila milioni 20 siondoki Yanga-YIKPE

Yanga kwa sasa inahangaika na sakata la Bernard Morrison kwa kiasi kikubwa baada ya kusemekana amesajili katika klabu ya Simba wakati ana mkataba na Yanga. Wakati Yanga inahangaika na suala hili kuna habari kuwa mshambuliaji wa Yanga kutoka Ivory Coast, Gislain Yikpe amedai kuwa hawezi kuvunja mkataba na Yanga mpaka...
Uhamisho

Timu nyingi zinanitaka – MOLINGA

Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga ambayo jana aliachana na timu yake hiyo amedai kuwa ni kawaida kwake yeye kuondoka Yanga kwa sababu wachezaji wengi huwa wanaondoka kwenye timu na kwenda timu zingine. "Mimi kama mchezaji sina shida , kama Ronaldinho aliondoka Barcelona na kwenda timu nyingine siyo kitu...
Blog

Luc Eymael afungiwa miaka miwili

Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Luc Eymael amefungiwa na TFF kutofundisha mpira nchini Tanzania kwa muda wa miaka miwili kutokana na kauli za kibaguzi. TFF pia imetoa adhabu ya faini ya jumla milioni nane kwa kocha huyo wa zamani wa Yanga. Mpaka sasa hivi Yanga wameshaachana na...
Tetesi

Dickson Ambundo akaribia kutua Yanga

Baada ya Yanga kumsajili Wazir Junior kutoka Mbao FC ili kuimarisha eneo la ushambuliaji ndani ya timu hiyo , kuna taarifa za ndani zinadai kuwa Yanga wamehamia kwa Dickson Ambundo. Mchezaji huyo ambaye hucheza kama winga wa pembeni ameonekana kufikia makubaliano ya kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria nchini Tanzania....
Tetesi

Yanga kuachana na Bernard Morrison?

Taarifa za ndani ya klabu ya Yanga zinadai kuwa katika ile orodha ya wachezaji watakaoachwa na klabu ya Yanga na jina la Bernard Morrison lipo. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya karibu vinadai kuwa Yanga wameamua kuachana na Bernard Morrison kutokana na utovu wake wa nidhamu ambao amekuwa akiuonesha. "Kuna...
Ligi Kuu

Msimu ujao Yanga tutaifunga 10-HAJI MANARA

Msimu ujao Yanga Msimu wa soka Tanzania bara umekamilika baada ya kushuhudia mechi ya fainali ya Azam Federation Cup kati ya Namungo FC na Simba katika uwanja wa Nelson Mandela uliopo Sumbawanga Rukwa. Katika fainali hii tumeshuhudia Simba akishinda goli 2-1 na kuchukua ubingwa wa Azam Federation Cup na kufanya...
1 3 4 5 6 7 79
Page 5 of 79