Tayari Arsenal iko na Mikel Arteta kama kocha mkuu wa Arsenal , kocha ambaye aliwahi kuhudumu pale kama mchezaji kwa muda wa miaka sita (6) anarudi tena Arsenal wakati ambao Arsenal inafanya vibaya , kipi afanye kwa haraka ainasue ? KUCHEZA HIGH DEFENSIVE LINE. Moja ya kitu ambacho Arsenal kwa...
Na Emre Mursal Can ilikua January 19,2018 mida ya saa 2:58 usiku , siku na muda huo nliandika makala iliyomuhusu "the little magician" Philippe coutinho , nilimwambia coutinho nenda ila ukae ukijua "YUPO ATAKAYEPOKEA ULIPOISHIA" baadae nilipokea pongezi nyingi Sana kuhusu makala ile na Kuna shabiki Mmoja alifika mbali...
Ushindi wa kwanza wa Nigel Pearson kama kocha mkuu wa Watford umepatikana Leo ndani ya dakika 4 wakifanikiwa kufunga magoli 2 dhidi ya Manchester United. Ismail Sarr alifunga goli la kwanza goli ambalo lilitokana na uzembe wa golikipa David De Gea, Wanna - Bissaka alisababisha penati ambayo aliifunga nahodha wa...
Kiungo anayeondoka Manchester United Ander Herrera amesema kocha wa klabu hiyo Ole Gunnar Solskjaer ndiye chaguo sahihi kwa sasa lakini anahitaji muwa wa kuweza kurejea na kuanza kuwania mataji kama ilivyokuwa zamani. Herrera ambaye anatajwa kuwa atajiunga na Matajiri wa Ufaransa Paris St Germain mwanzoni mwa msimu ujao, amesema anamuamini...
Kijana mmoja nchini Uingereza amejisalimisha mwenyewe Polisi mjini Blackpool baada ya kuandika maneno ya kibaguzi kwenye akaunti ya Twitter kuelekea kwa mlinzi wa Wigan Nathan Byrne. Kijana huyo amejisalimisha wakati ambapo Polisi wakiwa katika uchunguzi kufuatia klabu ya Wigan kupeleka malalamiko baada ya mashabiki kadhaa kuandika maneno ya Kibaguzi kwa...
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema haoni kabisa kama mshambuliaji wake raia wa Misri Mohamed Salah anasumbuliwa na tatizo la msongo wa mawazo kutokana na kushindwa kuzitingisha nyavu katika michezo nane iliyopita. Salah ambaye msimu uliopita alifunga mabao 44 katika mashindano yote, msimu huu umekuwa mgumu kwake akifunga mabao 20...
Klabu ya soka ya Manchester United ipo mbioni kuwaachia nyota wake sita katika kipindi cha majira ya joto kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuisha mikataba, kupungua viwango vyao pamoja na sababu nyingine mbalimbali. Nia hiyo ni maalumu kwa ajili ya kumsaidia Kocha Ole Gunnar Solskajaer kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi...