Simba ‘yaua’ MTU!
Dakika nane pekee ndizo ambazo ziliwachukua Simba kufunga goli la kwanza kupitia kwa John Raphael Bocco. Goli hili lilidumu kwa dakika 19 , ambapo Guevand Nzambe aliipatia Mbambane goli la kusawazisha. Goli ambalo liliwapa nguvu Mbambane katika mchezo huu. John Bocco aliipatia timu yake goli la pili kwa mkwaju wa...