Singida utd yashusha wawili wa Kimataifa!
Klabu ya soka ya Singida utd ya mkoani Singida imeendelea na harakati zake za usajili na kufanikiwa kuwanasa Wazambia wawili. Singida utd imewaongeza Wazambia wawili katika nafasi ya kiungo na ya ushambuliaji ili kujiimarisha katika Ligi Kuu Bara na michuano ya Sportpesa Supercup. Singida utd imemsajili Jonathan Daka anacheza nafasi...