Kiungo huyo amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu na sasa atakua akitonekana katika Ligi Kuu ya nchini Ubelgiji maarufu kama Jupiter Pro League.
Mawinga wa sasa hawakai ukingoni mwa uwanja muda mwingi wanacheza kama viungo wa kati na kukimbilia kwenye box ili kufunga moja kwa moja kitu ambacho yeye hakifanyi.