Pia Injinia Hersi ameonyesha kuheshimu na kuwashukuru viongozi wenzake klabuni hapo kutokana na kazi nzuri na yakutukuka waliyoifanya katika idara zao.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zilikamilika bila timu yoyote kupata goli na ikamlazimu kocha wa Yanga sc kufanya mabadiliko mwanzoni tu mwa kipindi cha pili
Usinga wa Yanga umerejea kwenye mkono wake wa kushoto, Namba tano imerejea kuwa eneo lake, uwanjani ni Ofisi yake na ‘First Eleven’ ya Yanga ni wafanyakazi wenzake na yeye akiwa Kingozi wao
Ame maarufu kama Varane anasifika kwa umbo lake kubwa lililojengeka, utulivu na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu. Katika Msimu huu uliomalizika yeye na Mwamunyeto wa walikua na pacha nzuri na kupelekea Coastal Union kutoka na "cleansheet" 13.
ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya kuvunja mkataba wa mwaka mmoja uliobaki wa Mwaminyeto huku kiasi cha fedha atakachopokea Mwamunyeto mwenyewe kikibaki kua ni siri.