Mzimu wa Bernabeu unavyowatafuna wapinzani wa Madrid!
Hapa ndiyo machinjioni Santiago Bernabeu Yeste hatoki mtu, uwanja pekee unakupa uhakika wa goli hivyo ni juhudi zako tu kulipachika.
Chelsea na ugeni wakati wa kwenda na kurudi tena.
Tuchel na vijana wake watalazimika kujilaumu sana sana kutokubadilisha mbinu mara baada ya mabadiliko ya Camavinga ambaye aliongeza kitu kikubwa uwanjani.
Waafrika vinara wa mabao katika Ligi ya Mabingwa!
mabao 13 kati ya Mane yametoka katika hatua ya mtoano, ambayo ni zaidi ya Lionel Messi tangu kuanza kwa msimu wa 2017-18.
Cech arejea Chelsea bila ya ‘Helmet’ yake!
Mlinda mlango wa zamani wa Timu ya Taifa ya Czech, Peter Cech amerejea tena katika viunga vya jiji la London karibu kabisa na daraja la Stanford.
Sarri atoa sababu za kumuweka benchi Eden Hazard.
Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Maurizio Sarri ametoa sababu za kumuanzisha benchi mshambuliaji wa pembeni wa timu hiyo...
Klabu za EPL ndio wababe wa Ulaya
Mara ya mwisho nchi hiyo kufanya hivyo ni mwanzoni mwa miaka ya 1970.
Ole: Mpeni muda Sanchez.
Kocha wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema anaamini kiwango cha mshambuliaji wake Alexis Sanchez kitaimarika licha ya...
Tetesi zote za usajili barani Ulaya hizi hapa.
“ Hatuko tayari kumuachia Solanke hata kwa mkopo, na kama atataka kwenda na aende lakini ajue kuwa hatocheza atakaa kwenye benchi tu
Kwaheri Eden Hazard.
Muda wa mashabiki wa Chelsea kusema “kwaheri” kwa mshambuliaji wao matata na msumbufu, Mbelgiji Eden Hazard umewadia.
Cole atangaza kutandika daluga.
Kiungo mshambuliaji Joe Cole ambaye amewahi kuhudumu katika timu ya Taifa ya England, na vilabu kama West Ham na Chelsea...