Ligi KuuLipuli fc kama ilivyotarajiwa!Thomas Mselemu4 years agoIkimkosa mshambuliaji wao kiongozi Paul Nonga "Baba Jackiee" aliekwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
Ligi KuuBocco amuwahi Makambo!Thomas Mselemu5 years agoJohn Bocco baada ya kufunga bao katika mchezo wa leo kusogea na kuongeza thamani yake katika Ligi Kuu Bara.
Mabingwa AfrikaBocco kuendelea kupiga penalti za SimbaMartin Kiyumbi5 years agoJohn Bocco alikosa penati muhimu wakati Simba ilipoikaribisha TP Mazembe jijini Dar es Salaam.
Mabingwa AfrikaTutakosea sana tukimhukumu BoccoMartin Kiyumbi5 years agoTusiwalaumu kabisa. Najua jana John Bocco alikosa nafasi tatu za wazi ikiwemo penati. Nafasi ambazo zinaweza kumgombanisha na mashabiki.
Ligi KuuSimba sc wang’aa tuzo za mwezi March!Thomas Mselemu5 years agoKatika mwezi March Simba imecheza michezo mitatu na kufanikiwa kushinda michezo yote na kuvuna alama 9.
Ligi KuuBaada ya Ngoma na Bocco kutupia tazama hapa vita ya ufungaji bora ilivyonoga!Thomas Mselemu5 years agoTazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?
BlogJohn Raphael Bocco Shujaa asiyepewa heshima yake.Thomas Mselemu5 years agoUnaweza sema watu wanachukua mabaya zaidi kuliko mazuri anayoyafanya.
Mabingwa AfrikaSimba watua Dar watoa tamko zito.Thomas Mselemu5 years agoMimi naamini kwa morali tuliyonayo wachezaji pamoja na mbinu za mwalimu (Patrick Aussems)
BlogTanzania imesheheni washambuliaji kibao!Thomas Mselemu5 years agoPengine kufanya vizuri kwa Mbwana Samata akiwa Krc Genk kumefungua njia kwa vijana wetu:
Ligi KuuKiufundi! Nani hatari zaidi kati ya BOCCO, OKWI na KAGERE.Martin Kiyumbi5 years agoJohn Bocco yeye husimama katikati ya mabeki wawili muda mwingi. Unaposimama katikati ya mabeki wawili, mabeki huwekeza muda mwingi kwako, hivo kuacha uwazi eneo jingine la nyuma.