Nani ameifungia magoli Simba Sc msimu huu?
Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.
Bocco awapiga chini kina Ngoma na Adam wa Prisons.
John Bocco aliukosa mchezo mmoja dhidi ya Ruvu Shooting kutokana na kuwepo kambi ya timu ya Taifa.
Kinachoniuma vitabu vitamwandika Msuva na kumsahau Bocco
Kipi hicho kinachofanywa na John Bocco? Mchezaji ambaye ameaminiwa na ni mtulivu katika majukumu yake...
Tunambeza, tunamlaumu na bado tunamtegemea, John Romelu Raphael Lukaku Bocco.
Idadi kubwa ya magoli ligi kuu Tanzania bara anayo yeye, yeye ndiye mfungaji bora wa muda wote, anagoli zaidi ya 100. Mchezaji aliyezifunga goli nyingi timu za Simba na Yanga rekodi pia anayo yeye. Ni mchezaji bora wa msimu uliopita. Na ni kepteni wa timu kubwa kama Simba. Bado unamchukulia poa tu?.
Simba yaenda Congo, mshambuliaji mmoja abaki!
Simba inakwenda kucheza mchezo wa pili katika hatua ya makundi.
Simba waidabisha Mbabane Swallows ligi ya Mabingwa Afrika.
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Sports Club wamezidi kudhihirisha ubora wao katika michuano ya Kimataifa baada ya kuwachapa Mbabane...
Simba ‘yaua’ MTU!
Dakika nane pekee ndizo ambazo ziliwachukua Simba kufunga goli la kwanza kupitia kwa John Raphael Bocco. Goli hili lilidumu kwa...