Kevin Sabato: Marcel Boniventure ni zaidi ya Chama
Kaheza kama mshambuliaji mwenye kipaji cha hali ya juu ambae kama mshambuliaji ukicheza nae ni lazima utafunga tuu magoli.
Huu ndio usajili bora VPL dirisha dogo?
Tuambie ni kwako anafaaa kua usajili bora namba moja katika dirisha dogo na nina aliekuvutia kati ya sajili hizi tano, tupe maoni maoni yako.
Sabato huyu wa Kagera hana tofauti na Håland wa Dortmund
Maamuzi yake ya kutua Kagera Sugar yalikuwa sahihi zaidi kuliko kama angeenda Namungo FC. Na nimiongoni mwa usajili bora zaidi.
Sabato: Simuogopi Yondani walaa Wawa
Sabato amekabidhiwa zawadi zake kutoka katika mtandao wetu, na ameongea na mtandao wetu
Kevin Kiduku alivyowashangaza wapenda soka!
Baada ya usajili huo mashabiki wengi wa soka walibaki na maswali ni kwanini Kevi Kiduku ameamua kwenda kutumikia katika timu hiyo.