Mwamba akiwa na rekodi mbalimbali za mabao lakini hii moja ndio iliyonivutia zaidi, Zlatan ndie mchezaji aliefunga bao katika kila dakika ya mchezo wa soka akiwa uwanjani
Mshambuliaji wa zamani wa PSG, Fulham na Manchester United Luis Saha amewataja wachezaji wake bora duniani kwasasa akiwataja nyota wawili kutoka Ufaransa na Uingereza.