Simba Yatua kwa Mshambuliaji wa Orlando Pirates

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alijiunga na Pirates kutoka klabu ya King Faisal FC ya Ghana kwa mkataba wa miaka mitatu. Hii ilikuwa ni baada ya  kufanya vyema katika nchini kwake Ghana kwa kufunga mabao 12 na kutoa asisti 10 katika michezo 32 katika msimu wa 2020.

Simba Kuishi Ndoto Zao Bila Manula?

katika mchezo wa mwaka 2003 langoni alikaa Juma Kaseja na kwa ujasiri mkubwa aliivusha Simba kwa kudaka mikwaju ya penati baada ya matokeo ya sare kwa michezo yote miwili hivyo basi ni Benno ama Salim atapaswa kuvaa viatu vya Manula akiwa na ujasiri wa Kaseja

Stori zaidi