Wengi wanasema, Mchezaji anaweza kuwa Bora katika Timu Fulani, lakini akawa Mbovu katika Timu Nyingine; tena Bila sababu za Msingi..falsafa yetu ni ipi?
Aidha pia mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtazar Mangungu ameizungumzia Simba day ya mwaka huu huku pia akijinasibu kuwa wao ndio waanzilishi wa Tamasha hilo.