BlogKama ikishindikana Kampamba, mara 100 arudishwe Kaheza si kumsaini KaperaBaraka Mbolembole5 years agoKapera ameachwa mbali mno na kina Kaheza, Salamba na Rashid na ni heri Simba ingewarudisha kundini Rashid na Kaheza kuliko kumsaini Kapera.
UhamishoUpepo’ umebadili mwelekeo, Kahata anaitaka Yanga SCBaraka Mbolembole5 years agoInawezekana baada ya kupata uhakika wa kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao? Mambo ni moto sasa katika usajili katika vilabu hivi viwili.
BlogKwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.Thomas Mselemu5 years agoOngezeko ya timu karika mashindano itazipa nidhamu ya ushindani kwa timu zote katika mashindano yote mawili.
BlogYanga sio ‘viti maalumu’, lakini Simba…Mwandishi Wetu5 years agoKwa upande fulani, hizi tambo za mashabiki wa Simba, Yanga inawabidi tu wavumilie. Kwakuwa walitakiwa kufanya vizuri katika miaka yote waliyoshiriki.
CECAFABaada ya CAF kuwarudisha, Yanga yaalikwa KagameMwandishi Wetu5 years agoMichuano hiyo itafanyika katika nchi ya Rwanda ambapo Yanga atakuwa kama timu mwalikwa kwenye michuano hiyo.
BlogWakimataifa ni wanne msimu wa 2019/2020Mwandishi Wetu5 years agoMsimu wa 2019/2020 ni msimu wa burudani tele kwa wapenzi wa Kandanda nchini, hizi taarifa umezipokeaje? Tupe maoni yako
BlogBao la Chirwa liwakumbushe Simba kuhusu usajili huu wa ShamteBaraka Mbolembole5 years agoOBREY Chirwa alitumia nguvu na akili mara moja tu kati ya dakika 90’ za mchezo wa fainali ya kombe la FA
MAVUGO ni zaidi ya MAKAMBO !Martin Kiyumbi5 years agoMavugo alishindwa Simba kwa sababu mashabiki walimpa presha kubwa. Presha ambayo alishindwa kuimudu.
BlogMalengo ya MO Dewji yanaukweli gani bila kutumia namba?Baraka Mbolembole5 years agoMO ana ndoto kubwa lakini hatujui ni muda gani atatumia kufanikisha ndoto hizo kuwa kweli! Labda ni wakati sasa wa MO kusema malengo ya muda mfupi ya klabu yatatumia muda gani.
BlogKahata kutua Simba baada ya AfconMartin Kiyumbi5 years agoKlabu ya Simba ambayo itashiriki michuano ya ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao, inajiimarisha kuhakikisha inafanya vizuri zaidi.