Klabu ya Simba SC iliwatunikia wachezaji wake tuzo mbalimbali usiku uliopita ikiwa ni muendelezo wa tuzo hizo zilizoanza kutolewa msimu uliopita chini ya mwekezaji mkuu wa klabu hiyo-tajiri, Mohamed Dewji ‘MO’.
Katika hafla hiyo iliyoambatana na futari imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na watu maarufu huku mgeni rasmi akiwa ni Spika wa Bunge la Jamuhuri La Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Tazama orodha ya mechi na matokeo yake ya mechi zote za Ligi kuu ambazo zimempa ubingwa kwa mara nyingine mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC.
Taarifa ambazo tovuti yetu imezipata ni kwamba kilichomkwamisha Ajibu kwenda TP Mazembe ni biashara ambayo imefanywa kati ya Ajibu na Simba kabla ya ofa ya TP Mazembe kutua mezani kwa klabu ya Yanga.
Kwa wanaosema Ever Barnega ni mchezaji wa kawaida, wajue tu kuwa Leo Messi ana jezi ya Lanzine sasa sijui Barnega na Lanzini nani ni mchezaji maarufu na mkubwa.
Fuatilia dondoo mubashara hapa zikiletwa kwenu na Thomas Mselemu na Martin Kiyumbi moja kwa moja kutoka uwanja wa Taifa. Jiunge na mjadala na kuipongeza Simba SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu.