Mabingwa AfrikaNani anashinda? Nani anaingia Robo fainali? kwangu ni Simba!Sekwao Mwendi5 years agoUngana nami katika hatua hii ya mwisho kabisa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mabingwa AfrikaTetesiMo awapa utajiri wachezaji Simba wakiing’oa As VitaThomas Mselemu5 years ago Mohammed Dewji "kwa wachezaji 28 na bechi la Ufundi iwapo klabu."
Mabingwa AfrikaErasto Nyoni aangushiwa msalaa na Uongozi Simba.Thomas Mselemu5 years agoPengine kiwango hafifu alichokionyesha beki Paul Bukaba katika mchezo dhidi ya JS Saoura.
Mabingwa AfrikaSimba inahitaji Shujaa mpya ili kuishinda Vita!Thomas Mselemu5 years agoSio hao tuu lakini kina Wawa na Juuko wakati wa mipira ya adhabu na kona mkivitumia vichwa vyenu kwa ufasaha zaidi
Mabingwa AfrikaSimba watua Dar watoa tamko zito.Thomas Mselemu5 years agoMimi naamini kwa morali tuliyonayo wachezaji pamoja na mbinu za mwalimu (Patrick Aussems)
Mabingwa AfrikaHofu yangu kwa Simba ni sehemu 4 pekee, Hizi hapa.Sekwao Mwendi5 years agoUshindi ni lazima! Lakini kila mtu katika nafasi yake lazima atimize majukumu yake.
Mabingwa AfrikaUongozi Simba: Tunahitaji tuzo ya CAF!Thomas Mselemu5 years agoKatika mchezo dhidi ya Al-Ahly mliona na pia kwenye mchezo wa JS Saoura wachezaji wao walipagawa mpaka wakaanza kupiga selfie
Mabingwa AfrikaHajji Manara: Tunahitaji 60,000 ili tufuzu robo fainaliThomas Mselemu5 years agoWale Saoura walikuja hapa wakakutaa uwanja umejaa wakashangaa na kuanza kupiga selfie na mashabiki.
Mabingwa AfrikaChama ni wa hapa hapaa tuu?Thomas Mselemu5 years agoJe Cleotus Chama ni wakutesa hapa hapaa tuu katika Ligi yetu?
Mabingwa AfrikaPengo la Okwi litazibika kwa masharti makuu manne, haya hapa.Sekwao Mwendi5 years agoSimba wanahitaji kucheza kwa nidhamu kubwa sana, hasa “marking”, na aina ya mchezo wanaotaka kuucheza.