Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Yanga pia imetambulisha wasanii watakaokuwepo katika Wiki ya Wanachi ambao ni pamoja na Chid Benz, Msaga Sumu, Mzee wa bwax, Mimi Mars, Madee, Mr Blue na Marioo
Manara akizungumza na waandishi wa habari leo amesema wao hawataenda "pre season" wakifanya mchujo bali watawaacha wachezaji wawili ili wabaki kumi na mbili.
Geita ambayo kwa mara ya kwanza imecheza Ligi Kuu msimu uliomalizima na kukata tiketi ya kwenda katika michuano ya Kimataifa imedhamiria kufanya vyema katika michuano hiyo kwa kusajili wachezaji wazoefu.
Kwa mujibu wa msimamizi wa mchezaji huyo Imani Mandu amekiri kupokea wamepokea ofa tatu kutoka katika vilabu vya Ligi Kuu huku KMC wenyewe wakiwa bado kimya.