Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Ligi KuuTetesi

Mshambuliaji wa Simba ana ofa tano mezani!

Mshambuliaji wa zamani wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, aliekosa nafasi katika klabu yake ya sasa ya Simba Sc amepata nafuu baada ya klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara kuonyesha nia ya kumuhitaji kwa mkopo. Mohamed Rashid ameonekana kua lulu kwa baadhi ya vilabu wakitaka huduma yake huku baadhi ya vilabu...
Blog

Stars yapaa kwenda Africa Kusini!

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo alfajiri kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka Kambi kujiandaa na mchezo wake wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho. Kambi hiyo ya siku 10 itakuwa katika Mji wa Bloemfontein kabla ya kikosi hicho kuelekea mjini Maseru, Lesotho. Taifa Stars...
TetesiUhamisho

Mshambuliaji wa Simba kutua KMC

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba sc  Elius Maguri huenda akajiunga na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC). Elius Maguri ni kama wamemalizana kila kitu na KMC huku likisubiriwa dirisha dogo la usajilii lifunguliwe ili aweze kuitumikia timu yake hiyo mpya. Na leo alikuepo jukwaani kushuhudia mchezo kati ya...
Blog

Usain Bolt bado anahaha kwenye Kandanda

Mwanariadha mstaafu Usain Bolt ameiaga klabu ya Central Coast Mariners baada ya kumaliza mazoezi ya kujiunga na timu hiyo ya nchini Australia bila ya kufuzu. Mjamaika huyo mwenye umri wa miaka 32, mshindi wa medali za olimpiki mara 8 mfululizo kwenye mashindano ya kusprint,Alijiunga na klabu hiyo August mwaka huu...
Blog

Matic ampa makavu Anthon Martial!

Kiungo wa Manchester United na Serbia Nemanja Matic ameamua kutoa ya moyoni kuhusu mchezaji mwenzake wa Manchester United Anthony Martial. Kiungo huyo wa Serbia na kipenzi cha kocha Josse Mourinho amemtaja mshambuliaji huyo wa Ufaransa na Man Utd kama moja ya kipaji maridhawa katika klabu ya Manchester United. Nemanja Matic...
Ligi Kuu

Okwi ameweka rekodi uwanja wa Taifa

Emmanuel Anorld Okwi "emmosting" ni kama gari limewaka hivi kutokana na kasi yake ya ufungaji wa mabao katika Ligi Kuu Bara. Emmanuel Okwi anakua mchezaji wa kwanza kufunga mabao matatu katika mchezo mmoja "hatrick" katika klabu ya Simba msimu huu na wapili katika Ligi Kuu Bara baada ya Alex Kitenge...
Ligi Kuu

Mashabiki wa Lipuli wapania Gemu ya Yanga

Mashabiki wa klabu ya Lipuli fc kutoka Iringa, watafunga safari kutoka Iringa mpaka Dar és salaam ili kuisapoti timu yao katika mchezo wa Jumanne dhidi ya Yanga. Lipuli ilifanikiwa kupunguza ukame wa magoli baada ya kuichabanga Mbao Fc nyumbani kwake bao 3-1. Wakiongea na tovuti hii baadhi ya mashabiki wameitikia...
Ligi Kuu

Owino yupo fiti kuwavaa Yanga.

KUELEKEA mchezo dhidi ya Yanga, Lipuli Fc leo jioni imefanya mazoezi ktk uwanja wa Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar Es Salaam. Kwa mujibu wa Msemaji wa Klabu hiyo, Clement Sanga, amesema Mlinzi Joseph Owino ameungana na wachezaji wengine katika mazoezi baada ya kukosekana kwenye michezo kadhaa ya hivi...
1 50 51 52 53 54 66
Page 52 of 66