Mzamiru Yassin, fundi asiyeonekana.
Usipo kuwa na jicho la kiufundi huwezi kuona mchango wake wa moja kwa moja kwa kuwa play style yake haina 'mbwembwe' hajui na hajajaliwa nakshi nakshi nyingine.
Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.