Yupi kocha bora 2019 kati ya Aussems na Zahera?
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2019 , ingia ndani ya kandanda.co.tz andika kura yako kwenye tovuti na mshindi atapewa tunzo na Kandanda.co.tz
Sababu tatu(3) kwanini Aussems alionewa kufukuzwa Simba.
Tayari Simba walishavunja ndoa yao na Patrick Aussems , ndoa ambayo imedumu kwa kipindi cha msimu mmoja na robo.
Sababu 5 za kiufundi za kuachwa kwa James Kotei.
Kunaweza kuwa na sababu nyingi tofauti za ndani kuhusu kuachwa kwa Kotei, lakini hizi tumeaangaza kiufundi zaidi.
Aussems anapowakataa Kotei, Niyonzima na kumkubali Zana ni matokeo niliyotaraji
Simba walipaswa kutazama malengo yao mapya na kumpima Aussems kama anaweza kuyabeba kabla ya kumpatia muda zaidi
Auseems: Tunamkosa beki wetu muhimu leo
Kocha wa Simba Patrick Aussems amethibitisha kukosa huduma ya beki wake huyo.
Kumbe Aussems ‘ali-bet’ aisee..!
Simba walitolewa katika mashindano ya Klabu Bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali, baada ya kufungwa bao 4-1 na TP Mazembe
Bocco kuendelea kupiga penalti za Simba
John Bocco alikosa penati muhimu wakati Simba ilipoikaribisha TP Mazembe jijini Dar es Salaam.
Simba haoo “NUSU FAINALI”
Mfumo huu hutegemea utimamu wa viungo watatu wa kati ili kuleta “fluidity na Flexibility” ya timu . Timu itakuwa na uwezo wa kumiliki mpira, kukaba na kuufikisha mpira eneo wanalotaka.
Simba sc wang’aa tuzo za mwezi March!
Katika mwezi March Simba imecheza michezo mitatu na kufanikiwa kushinda michezo yote na kuvuna alama 9.
Tunambeza, tunamlaumu na bado tunamtegemea, John Romelu Raphael Lukaku Bocco.
Idadi kubwa ya magoli ligi kuu Tanzania bara anayo yeye, yeye ndiye mfungaji bora wa muda wote, anagoli zaidi ya 100. Mchezaji aliyezifunga goli nyingi timu za Simba na Yanga rekodi pia anayo yeye. Ni mchezaji bora wa msimu uliopita. Na ni kepteni wa timu kubwa kama Simba. Bado unamchukulia poa tu?.