Kwa Yanga hii ubingwa upo palepale!
presha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
presha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
Kwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca
Kocha Pablo alikiri timu yake ilicheza vyema kipindi kimoja tuu chakwanza na kushindwa kua na muendelezo mzuri katika kipindi cha pili
Chama anatarajia kukosa michezo karibia yote ya msimu huu.
Uwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.
Tayari Kagera Sugar wamejinasibu kuendeleza palepale walipoishia katika mchezo wa mwisho baina yao
Said Ndemla alijiunga na Mtibwa msimu huu akitokea Simba Sc baada ya aliyekua kocha wa wa Simba wakati huo Didier Gomes kumkataa
John Bocco alifunga goli lake la kwanza katika mchezo dhidi ya Ruvu na kwenda kuungana na yale 7
Kwa upande wa wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kuna taarifa za chini chini kwamba kuna mahusiano ‘dhaifu’ kati ya nyota
Kuna kutangaza vita na kupigana vita miaka yote Ruvu huwa wanatangaza vita lakini huwa hawana uwezo wa kupigana vita.