Mataifa Afrika U17Watanzania wanatakiwa kuwa wavumilivu- Ammy NinjeMartin Kiyumbi21/04/2019Hili ni eneo ambalo Ammy Ninje ameahidi kulifanyia Kazi. Watahakikisha kuwa wanawekeza kuangalia vipaji bora ili viwepo kwenye timu.
Mataifa Afrika U17Sababu zilizosababisha Serengeti Boys itolewe.Martin Kiyumbi18/04/2019Serengeti Boys ilitolewa kwenye michuano ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17 ya Afrika, hivo kama mwenyeji aliaga rasmi kwenye michuano hii.
Mataifa Afrika U17Ajax, Manchester City wapigana vikumbo kwa Kelvin John.Issack John18/04/2019Jarida maalumu la kuripoti michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayoendelea hapa nchini, limeripoti kwamba...
Mataifa Afrika U17Wachezaji watano hatari AFCON -U17Martin Kiyumbi11/04/2019Hivi hapa ni vipaji vitano ambavyo vinaonekana ni bora na hatari katika michuano hii.
Mataifa Afrika U17Simba sc na Cameroon ngoma droo!Mselemu Kandanda10/04/2019Timu ya Cameroon tayari imewasili nchini iliwa tayari kabisa kushiriki michuano ya Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 inayofanyika Tanzania kwa mara ya kwanza.
Mataifa Afrika U17Kelvin John yuko FIT kwa ajili ya AFCONMartin Kiyumbi10/04/2019Kelvin John alikuwa mfungaji bora wa mi chuano ya CECAFA kwenye michuano ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17.