ASFCUwanja umeharibu fainali ya shirikishoBaraka Mbolembole01/06/2019Licha ya changamoto ya uwanja lakini kikosi hicho kutoka Iringa kimeweza kuifanya fainali 'kuwa fainali' na walikuwa mbele kwa umiliki wa mchezo kwa muda mwingi jioni hii.