archiveManungu

Mtibwa Sugar vs Ruvu Shooting

Timu ya soka ya Ruvu shooting ya Pwani, imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa sugar katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara uliopigwa kunako uwanja wa Manungu Complex uliopo Turiani mjini Morogoro Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani wa aina yake kwa muda wa dakika zote...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz