Kibabe tumeshatinga!
Pata ladha ya ushindi katika mfumo wa Ushairi kutoka kwa Mkini na Alpha wa pale Dodoma. Hakika hii ni kibabe!
Pata ladha ya ushindi katika mfumo wa Ushairi kutoka kwa Mkini na Alpha wa pale Dodoma. Hakika hii ni kibabe!
Kipi hicho kinachofanywa na John Bocco? Mchezaji ambaye ameaminiwa na ni mtulivu katika majukumu yake…
Pitia kutazama Ubora na Udhaifu wa Kikosi cha Taifa Stars katika mechi ya jana.
Picha za mechi ya leo ambayo imemalizika kwa Tanzania kufuzu kwa mara ya pili kombe la mataifa ya Afrika
Wachezaji wa zamani wa Taifa Stars waliwauliza pia wachezaji wanaoenda kupambana na Uganda kesho swali hili
Kina Iddi Pazi, Peter Tino na Athumani Chama walikuepo Taifa kuwapa maneno ya ushindi kina Msuva, Samata, Yondani na wenzie.
Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya….Stori zaidi.
Hizi ni baadhi ya picha, wanasema ukikiongoza kitu lazima ukijue, na ndio maana kuna watu waliwahi kusema wakati wa uchaguzi mkuu wa TFF ‘Turudishieni Mpira wetu’.
Shirikisho la soka barani Afrika limetupilia mbali ombi….Stori zaidi.
Timu ya Taifa ya Uganda jana jumatatu asubuhi….Stori zaidi.