Nitakupa mikasa ya huyu mzee (Babu yake na Jonas) Mzee Masharubu ni Simba kweli kweli. Kuna mambo mawili yametokea Mzee Masharubu akiwa amelala zake kaburini
Hii itakuja kuwa faida kubwa sana kwa klabu kwakuwa hiki ndio kizazi ambacho kilipata "exposure" na "experience" zaidi kwenye historia ya Simba kuliko chochote.
Imebainika kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika keshokutwa