Huduma hii ya KandandaSMS itamuwezesha msomaji wetu kujiunga kwa kulipia kiasi cha Shilingi 700 na kupokea ujumbe mfupi wenye maudhui kati ya haya:
- Dondoo za habari
- Ratiba na Matokeo
- Breaking News
- Taarifa za Uhamisho
- Dondoo za Takwimu za Ligi Kuu
Kila Sms inachajiwa Shilingi za Kitanzania 35/=hivyo Shilingi 700, mteja atapata Sms 20 akishalipia.
Jinsi ya Kulipia:
Kwa watumiaji wa Airtel Money
*150*60#>Chagua Lipa Bill >Lipia Bidhaa> Lipa kwa Selcom/Masterpass>Kiasi (700)>Ingiza namba ya malipo (60024833678).
Kwa watumiaji wa M-pesa na Tigo Pesa
Chagua Lipa kwa Mpesa/Bill>Ingiza namba ya Kampuni 123123>Namba ya malipo (60024833678)>Kiasi (700).
*Vigezo na masharti kuzingatiwa