La LigaAssensio “out” wiki nne, kuzikosa mechi hizi hapa.Sekwao Mwendi5 years agoKlabu ya Real Madrid imethibitisha kuwepo nje kwa takribani wiki nne, sawa na mwezi mmoja kwa mshambuliaji wake, Mhispaniola Marcos Asensio.